Tuesday, 6 September 2016

USISAHAU KUPIGA KURA KWA MTOTO HUYU WA ROBISONI ROBATI  KWENYE SHINDABNO LA TA\BASAM MWANANGU KUPIGA KURA ANDIKA 


POST PICH YA MTOTO INST ALFU ANDIKA HASHITAG #ROBBYNTAMWAAWARDS

Huyu ndie mgombea Urais chuo cha uandishib wa habaria Dar es salaam alie pitishwa na TUME YA UCHAGUZI 

Tume ya uchaguzi chuo cha uandauishi wa habari  Dar es salaam kimetangaza jina la mgiombea urais chuon hapoa kua ni LUNYAMADIZO WILLIAM MNYUKA na makamu wake ni DORIS R NDELO huku tume hiyo ikisema kua imekata baadhi ya majina yaliyokua yamechukua fom ya kugombea nafasi hiyo 

hata hivyo tume iyo imekua ikipiga chenga wandishi wa habari waokua wakitakakupata ufafanuzi wa swala hilo kwa jkuseama msemaji wa tume amepata dharura hajafika 

pia mlezi wa wanafunzi chuoni hapo ndugu JOAKIM JOLIGA amesema amepokea barua ya malalamishi kutoka kwa wagombea waliokatwa aliongeza kusema tume ni lazima izingatie vigfezo vilivyo wekwa na  katiaba ya wanafunzi chuon hapo \

jitihasda za kumpata msemaji wa tume zina endelea 

Monday, 5 September 2016

Miss no.2 wa chuo cha uandishi wa habari dar es salaam, Ruqaiya Ahmad ajitosha katika siasa chuoni hapo na kuibuka kidedea katika ubunge wa madarasa,lakini pia kuwa naibu spika chuoni hapo.
Uchaguzi huo umefanyika tarehe 5/9/2016 muda wa saa 6 mchana katika ofisi za serikali ya wanafunzi chuoni.
Hata ivyo aliekuwa akishikilia nafasi hiyo ya spika wa bunge bwana Jeremia Ernest ameibuka  kidedea na kuendelea kuishikilia nafasi yake ya spika wa bunge kwa mwaka mmoja wa uongozi 2016-2017.

Ruqaiya Ahmad Naibu Spika mteule chuo cha uandishi wa habari dar es salaam.
mh spika wa bunge chuo cha uwandish wa habari dar es salaam dsj