Monday, 5 September 2016

Miss no.2 wa chuo cha uandishi wa habari dar es salaam, Ruqaiya Ahmad ajitosha katika siasa chuoni hapo na kuibuka kidedea katika ubunge wa madarasa,lakini pia kuwa naibu spika chuoni hapo.
Uchaguzi huo umefanyika tarehe 5/9/2016 muda wa saa 6 mchana katika ofisi za serikali ya wanafunzi chuoni.
Hata ivyo aliekuwa akishikilia nafasi hiyo ya spika wa bunge bwana Jeremia Ernest ameibuka  kidedea na kuendelea kuishikilia nafasi yake ya spika wa bunge kwa mwaka mmoja wa uongozi 2016-2017.

Ruqaiya Ahmad Naibu Spika mteule chuo cha uandishi wa habari dar es salaam.
mh spika wa bunge chuo cha uwandish wa habari dar es salaam dsj

No comments:

Post a Comment